Nilichoka kuhudhuria harusi za wenzangu huku mimi nikiwa mpambe wa kudumu

Mimi ni Neema, mkazi wa Moshi, Kilimanjaro. Kwenye ukoo wetu, mimi ndiye niliyebaki peke yangu bila kuolewa. Nimekuwa “bridesmaid” (mpambe wa bibi harusi) kwenye harusi zaidi ya kumi, lakini yangu haikuwahi kufika.

Kila nikishika shada la maua (bouquet) kwenye harusi, nilitegemea ndiyo zamu yangu, lakini wapi! Miaka ilikatika, nikafika miaka 39. Kila nikikutana na mwanaume, anaishia kuniahidi ndoa lakini anapotea msimu wa kutoa poso unapofika.

Moshi ni mji mdogo, hivyo kila mtu alikuwa anajua hadithi yangu. Wengine walisema nimefungwa na bibi yangu aliyekufa, wengine wakasema nina mikosi ya kuzaliwa. Nilikuwa na huzuni kubwa, nikijiona sistahili kupendwa.

Hofu ya kutopata mtoto ilikuwa inanitesa, maana saa ya uzazi ilikuwa inazidi kwenda. Nilikuwa tayari kufanya chochote ili nipate mume wa kunisitiri.SOMA ZAIDI...............

Post a Comment

Previous Post Next Post