Kulikuwa na tukio la kushangaza katika duka moja la jumla jijini Dar es Salaam baada ya kijana mmoja kudaiwa kuiba pesa na ghafla kushindwa kabisa kuondoka eneo la tukio.
Badala ya kukimbia kama ilivyo kawaida kwa wezi, alijikuta amekaa tu kwenye kiti bila uwezo wa kusogea.
Kwa mujibu wa mashuhuda, kijana huyo aliingia dukani wakati mwenye duka alipokuwa ametoka kwa muda mfupi. Aliona fursa na kufungua droo iliyokuwa na fedha, akachukua kiasi fulani na kujiandaa kuondoka.
Hata hivyo, alipokaa kidogo ili kuhakikisha hakuna mtu aliyemwona, ghafla alishindwa kabisa kusimama kutoka kwenye kiti alichokalia.

Alijaribu kunyanyuka lakini mwili wake haukumtii. Alianza kuonekana kuchanganyikiwa huku akijaribu kujiinua bila mafanikio.
Muda ulivyopita, mwenye duka alirudi na kumkuta kijana huyo akiwa amekaa pale pale, akionekana mwenye hofu kubwa. Alipohojiwa, kijana huyo alishindwa kujitetea na hatimaye akakiri kuwa alikuwa ameiba pesa hizo.
Mmoja wa mashuhuda alisema, “Hakuweza hata kukimbia. Alikuwa amekaa tu kama amefungwa, lakini hakuna aliyemshika.”SOMA ZAIDI.......

Post a Comment