Mshangao Kakamega baada ya jamaa aliyekuwa hajapata kazi kwa miaka miwili kuajiriwa ndani ya wiki chache

Brian Odhiambo, mkazi wa Kakamega, alikuwa ameishi maisha ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa zaidi ya miaka miwili. 

Licha ya kuwa na vyeti na uzoefu mdogo, kila alipoomba kazi alipokea majibu ya kukataliwa au hakuitwa kabisa kwa usaili.

Kwa mujibu wake, hali hiyo ilimletea msongo wa mawazo na hata kuanza kupoteza kujiamini. Alianza kufanya vibarua vya hapa na pale ili kujikimu, lakini moyo wake ulikuwa unatamani kupata ajira ya kudumu.

“Nilifika mahali nikahisi labda bahati yangu imeisha kabisa,” alisema Brian.SOMA ZAIDI..................

Post a Comment

Previous Post Next Post