Mwili wangu ukawa unatoa unyevu wa asili kwa wingi

Naitwa Agnes, na kwa muda wa miaka mitano ya ndoa yangu, nilikuwa napata mateso makali mno chumbani ambayo sikuwa na ujasiri wa kumwambia mtu yeyote.

Kila tulipokuwa tukishiriki tendo la ndoa na mume wangu, nilikuwa napata vidonda na michubuko sehemu za siri kutokana na ukavu uliokithiri na kukosa hamu kabisa.

Nilihisi maumivu makali kiasi cha kunifanya nichukie hata kumuona mume wangu akikaribia kitanda, jambo lililotufanya tuishi kama “dada na kaka” badala ya mume na mke kwa kipindi kirefu sana.

Mume wangu alianza kunihurumia na wakati mwingine kuacha kabisa kutaka unyumba kwa hofu ya kuniumiza zaidi, jambo lililotufanya tupoteze ule ukaribu wa mke na mume. 

Upendo ulianza kupotea na nyumba ikawa haina kicheko wala furaha tena, tukawa tunaishi kwa mazoea tu.

Nilienda hospitali kubwa mbalimbali wakaniambia nina matatizo ya homoni na kunipa dawa ambazo hazikusaidia kitu zaidi ya kuniongezea uzito wa mwili na kunifanya nionekane mzee kuliko umri wangu. 

Nilikuwa naumia sana kuona mume wangu akiteseka kwa kukosa haki yake ya msingi.SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post