Nilivyopata Amani Baada ya Kuishi na Wasiwasi wa Kila Siku Bila Kupata Usingizi wa Maana

Mimi nilikuwa naishi na wasiwasi mkubwa kila siku. Mawazo yalikuwa mengi kichwani, na hata usiku nilipolala, sikuweza kupata usingizi wa maana.

Nilikuwa naamka mara nyingi usiku, moyo ukipiga kwa kasi, nikifikiria mambo yasiyoisha.

Asubuhi nilikuwa nachoka na kukosa nguvu ya kufanya kazi zangu vizuri. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu sana.

Nilijaribu kujituliza peke yangu, lakini haikusaidia. Wasiwasi uliendelea kuongezeka na kunifanya nipoteze amani kabisa.SOMA ZAIDI...............

Post a Comment

Previous Post Next Post