Nilivyorejesha Heshima Yangu Baada ya Watu Kunitangaza Mvivu Bila Kujua Kilichokuwa Kinanitesa

Mimi nilikuwa napitia kipindi kigumu sana maishani. Nilikuwa najitahidi kufanya kazi na kusimama tena, lakini mambo hayakuwa yanaenda sawa kama nilivyotarajia. 

Watu waliokuwa karibu nami hawakuelewa hali yangu. Walianza kunitaja kama mvivu na mtu asiyejituma.

Maneno yao yaliniumiza sana kwa sababu walikuwa hawajui nilichokuwa napitia ndani. Kadri siku zilivyopita, nilianza hata kuamini yale waliyokuwa wakisema. Nilipoteza kujiamini na hata nguvu ya kujaribu tena ikapungua.

Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa karibu hali yangu.SOMA ZAIDI.............

Post a Comment

Previous Post Next Post