Sasa ni Bosi ila awali alikuwa akishinda akifukuza nzi huku redio zikipiga kelele bila mteja

Naitwa Erick, mkazi wa jiji la Mbeya. Kwa miaka saba, nilikuwa nikipambana na biashara ya kuuza vifaa vya kielektroniki kama TV, redio, na pasi pale mtaa wa uhuru.

Nilikuwa na duka lililopambwa kwa vioo na taa za kuvutia, lakini mfukoni nilikuwa nakauka kama jangwa la Sahara.

Kila asubuhi nilikuwa nawasha redio kubwa dukani kwangu ili kuvutia wateja, lakini watu walikuwa wakipita na kusikiliza muziki tu kisha wanaenda kununua kwa jirani yangu ambaye duka lake lilikuwa dogo na chafu.

Hali hii ilinitesa sana kisaikolojia. Nilianza kuonekana mwanaume niliyefeli mbele ya mke wangu na ndugu zangu, kwani kila mwezi nilikuwa nakopa pesa ya kulipa kodi ya pango. Nilihisi nina nuksi ya ajabu inayowafukuza watu wenye pesa na kuvuta watazamaji tu.

Nilijaribu kila mbinu; nilishusha bei hadi ya hasara, nilifanya matangazo kwa gari la spika mitaani, na hata kutoa zawadi kwa kila aliyenunua bidhaa, lakini wapi! Duka langu lilikuwa kama limepakwa dawa ya kufukuza watu. Nilikaribia kukata tamaa na kuuza kila kitu nikawe kondakta wa daladala.

Siku moja nilisafiri kwenda kijijini kwetu kwa ajili ya mazishi ya ndugu. Nikiwa nimekaa na wazee wa busara chini ya mwembe, tulianza kuzungumzia changamoto za kimaisha mjini. 

Mzee mmoja ambaye alikuwa ni rafiki wa marehemu, alinifuata pembeni na kuniambia, “Erick, kijana wangu, unahangaika bure na mbinu za kizungu.

Biashara ni nyota, na yako imefunikwa na vumbi la kijicho. Tafuta mtaalamu mmoja shupavu anaitwa. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post