Nilivyookoa Urafiki Wangu Baada ya Muda Mrefu wa Kutoelewana na Kila Kitu Kuonekana Kugonga Mwamba

Mimi nilikuwa na rafiki wa karibu sana ambaye tulishirikiana kila kitu. Tulikuwa kama ndugu, na hakuna aliyedhani siku moja tungeweza kutengana. Lakini mambo yalibadilika ghafla. 

Kutoelewana kidogo kuligeuka kuwa ugomvi mkubwa. Tulianza kuacha kuwasiliana, na kila mmoja akawa na upande wake.

Kadri muda ulivyopita, hali ilizidi kuwa mbaya. Tulikuwa tunaonana lakini bila kuzungumza. Urafiki wetu ulionekana kufika mwisho. 

Nilijaribu kumtafuta mara kadhaa ili tuongee, lakini hakutaka kusikiliza. Hilo liliniumiza sana kwa sababu nilijua tulikuwa tumepitia mengi pamoja.SOMA ZAIDI..................

Post a Comment

Previous Post Next Post