Mimi nilikuwa nafanya kazi kwa bidii sana, lakini sikuona matokeo yanayoendana na juhudi zangu. Kila nilipokuwa karibu kupandishwa au kupata nafasi nzuri, mambo yaliharibika ghafla.
Nilianza kugundua kuwa kuna watu kazini walikuwa wakinipinga kimya kimya. Kila nilipojitahidi kuonyesha uwezo wangu, kulikuwa na kitu kinaharibu juhudi zangu.
Nilianza kugundua kuwa kuna watu kazini walikuwa wakinipinga kimya kimya. Kila nilipojitahidi kuonyesha uwezo wangu, kulikuwa na kitu kinaharibu juhudi zangu.
Hali hii ilinikatisha tamaa sana. Nilihisi kama hakuna anayethamini kazi yangu, na wakati mwingine nilifikiria kuacha kabisa.SOMA ZAIDI............
Post a Comment