Maisha yangu yalibadilika ghafla nilipogundulika kuwa na kisukari. Mwanzoni nilifuata kila ushauri niliopatiwa nilianza kutumia dawa, nikabadilisha lishe, na kuzingatia maelekezo yote niliyopewa hospitalini. Nilikuwa na matumaini kuwa hali yangu ingetulia haraka.
Lakini kadri muda ulivyopita, mambo hayakwenda kama nilivyotarajia. Viwango vya sukari vilikuwa vinapanda na kushuka bila mpangilio mzuri.

Wakati mwingine nilihisi nafuu, lakini haikudumu. Hali hiyo ilinichosha sana na kunifanya nijiulize kama kweli nitapata suluhisho la kudumu.
Nilijaribu kuwa makini zaidi nikafuata ratiba kali ya chakula, nikazingatia dawa zangu kwa wakati, na hata kupunguza msongo wa mawazo.

Lakini bado kulikuwa na kitu kilikuwa hakipo sawa. Ilikuwa kama kuna kipande muhimu nilikuwa nakikosa.
Kadri hali ilivyoendelea, nilianza kupoteza matumaini polepole. Nilihitaji msaada wa kuelewa kwa kina zaidi nini kilikuwa kinaendelea mwilini mwangu. Ndipo nilipoamua kutafuta mwongozo wa ziada.Chanzo.

Post a Comment