Kijana aliyekuwa akisaka riziki kwa shida apata utajiri wa betting


Maisha ya mtaani yanaweza kukuchosha na kukunyima amani, hasa unapokuwa na umri wa kuanza kujitegemea lakini kila unachogusa kinagoma kutoa matokeo. 

Naitwa George, na kwa miaka sita baada ya kumaliza masomo yangu, nilikuwa mmoja wa vijana waliokuwa wakihangaika kupata hata mlo mmoja kwa siku.

Niliingia kwenye ulimwengu wa kubashiri (betting) nikiamini ndiyo njia pekee ya kuninasua kwenye umaskini uliokuwa unaniandama, lakini badala ya neema, nilijikuta nikipoteza hata kile kidogo nilichokipata kwa vibarua vya hapa na pale.

Kila nikiangalia umri wangu ukisogea, nilikuwa napata shinikizo kubwa la kutaka kufanya mambo makubwa kama vijana wengine, lakini bahati ilikuwa mbali na mimi. 

Mikeka yangu ilikuwa ikichanika kwa njia za ajabu; mara timu niliyoiwekea ushindi ifungwe goli la sekunde ya mwisho, mara mechi iishe kwa sare isiyotarajiwa.

Hali hii ilinifanya nianze kuonekana kama mtu mwenye mikosi, na hata ndugu zangu walianza kuniepuka wakidhani mimi ni mzembe ninayepoteza pesa kwenye michezo isiyo na faida. 

Nilihisi kuna kitu kimejifunga kwenye maisha yangu na nyota yangu imefunikwa na giza nene.

Siku moja, nikiwa nimekata tamaa kabisa na kutaka kuacha mambo yote, nilikutana na ushuhuda wa kijana mmoja aliyekuwa na hali mbaya zaidi yangu lakini akapata mpenyo wa ajabu.SOMA ZAIDI......

Post a Comment

Previous Post Next Post