Naitwa Rashid, mkazi wa mkoa wa Tanga. Tanga inajulikana kwa wanawake wenye adabu na mapenzi, lakini ajabu ni kwamba mimi nilishindwa kupata mke wa ndani.
Kila mwanamke niliyemleta nyumbani alikuwa akiondoka baada ya muda mfupi akidai kuwa anahisi hofu au hapati amani akiwa na mimi.
Nilikuwa na miaka 44 na nilikuwa naishi kama mnyama wa msituni, bila msaidizi wala mwenzi wa kuzungumza naye baada ya kazi.
Nilizunguka mikoa ya Kagera, Mwanza, na hata Mbeya kutafuta mke, lakini hali ilikuwa ileile. Watu walianza kunitania kuwa labda mimi nina matatizo ya kiume, jambo ambalo si kweli.

Nilijihisi mpweke na mwenye laana. Nilikuwa na hofu ya kuitwa “mzee kijana” milele. Kila kukicha, hamu ya kuwa na familia na watoto ilikuwa inazidi kuniumiza moyo.SOMA ZAIDI................
Post a Comment