Kuku Wote Wakaanza Kufa Nyumba Moja Tu, Uchunguzi Ulipofanyika Ukweli Ulishtua Wengi

Naitwa Amina kutoka Kisii. Sikuamini kabisa kilichotokea kwenye nyumba yangu hadi nilipoona hali inazidi kuwa mbaya kila siku. 

Nilikuwa na mradi mdogo wa kufuga kuku nyumbani. Mwanzoni kila kitu kilikuwa kinaenda vizuri, kuku walikuwa na afya nzuri na nilikuwa na matumaini makubwa ya kukuza biashara hiyo.

Lakini ghafla mambo yakabadilika. Kuku walianza kudhoofika mmoja baada ya mwingine, na ndani ya muda mfupi wakaanza kufa bila sababu ya wazi.

Nilijaribu kila njia niliyofikiria kubadilisha chakula, kusafisha banda, na hata kuwaita watu wenye uzoefu wa ufugaji, lakini hali iliendelea kuwa mbaya zaidi.

Hofu ilianza kunishika kwa sababu kila siku nilikuwa napoteza kuku zaidi, na sikuwa na majibu ya kile kilichokuwa kinaendelea. Siku moja nilimweleza rafiki yangu wa karibu changamoto yangu.SOMA ZAIDI...............

Post a Comment

Previous Post Next Post