Mfanyakazi Apata Promotion Ghafula Baada ya Kudharauliwa Miaka Mingi Wenzake Washindwa Kuamini

Naitwa Ian kutoka Kitui. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi katika kampuni moja nikiwa katika nafasi ya chini, huku nikihisi kama jitihada zangu hazionekani.

Kila mara nilikuwa nafanya kazi kwa bidii, lakini nilidharauliwa na baadhi ya wenzangu na hata kusahaulika wakati wa nafasi za kupandishwa cheo.

Hilo liliniumiza sana, lakini sikuacha kujituma. Miaka ilipita nikiwa katika hali hiyo hiyo, nikianza hata kupoteza matumaini ya kama nitawahi kubadilika kazini. Siku moja nilishirikisha rafiki yangu wa karibu changamoto yangu.SOMA ZAIDI..................

Post a Comment

Previous Post Next Post