Naitwa Jofrey, mkazi wa mkoa wa Morogoro. Mimi ni fundi seremala na nina karakana yangu kubwa ambapo natengeneza fenicha za aina mbalimbali kama vitanda, makabati na masofa. Kazi hii nimeifanya kwa zaidi ya miaka kumi na nimekuwa nikijitahidi kununua mashine za kisasa za kupasulia mbao na kupiga randa ili kuboresha kazi zangu.
Mashine hizo ni ghali sana na nilizipata kwa kuchukua mikopo na kuweka akiba ya miaka mingi. Karakana yangu ilikuwa ndio tegemeo langu la pekee la maisha na nilikuwa nimeajiri vijana watatu waliokuwa wakijifunza kazi.
Siku moja usiku, kundi la majambazi walivunja karakana yangu. Walitumia gari kubwa na kusomba mashine zangu zote muhimu za kazi, ikiwa ni pamoja na mbao za wateja zilizokuwa tayari kwa ajili ya kutengeneza fenicha za ofisi.
Nilipoingia ofisini asubuhi na kukuta kila kitu kimeibiwa, nilihisi kama moyo wangu umesimama. Bila zile mashine, sikuwa na uwezo wa kufanya kazi tena, na wateja walianza kunijia juu wakidai mbao zao au fedha walizokuwa wamelipia.

Nilihisi nimefilisika mchana kweupe na nilikuwa na hofu ya kupoteza karakana yangu na sifa yangu ya uaminifu.SOMA ZAIDI.
Post a Comment