Dar es Salaam, Juni 2026 — Mshambuliaji raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Fiston Mayele, amezua mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka baada ya taarifa kusambaa zikidai kuwa anaonyesha nia ya kurejea Tanzania kujiunga na Simba SC.
Kwa sasa Mayele anakipiga katika klabu ya Pyramids ya Misri, lakini historia yake katika soka la Tanzania bado inaendelea kukumbukwa na mashabiki kutokana na kipindi chake akiwa na Yanga SC, ambapo aliweka rekodi ya kuwa mmoja wa washambuliaji hatari waliowahi kucheza ligi ya nchini.
Kwa mujibu wa taarifa hizo zinazosambaa mitandaoni, Mayele ameonyesha nia ya kurejea Tanzania, jambo ambalo limezua mjadala mkubwa kuhusu uwezekano wa kujiunga na Simba SC.

Hata hivyo, bado hakuna uthibitisho rasmi kutoka kwa klabu husika au kwa mchezaji mwenyewe kuhusu mazungumzo ya moja kwa moja. SOMA ZAIDI.
Post a Comment