Ikulu Yatoa Taarifa Hii Ya Ghafla Usiku Huu Kuhusu Tukio Hili


Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Wakati mijadala kuhusu uchumi na uwekezaji ikiendelea kushika kasi nchini, Ikulu ya Tanzania usiku huu imetoa taarifa rasmi kuhusu mazungumzo muhimu yaliyofanyika kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na mfanyabiashara maarufu barani Afrika, Aliko Dangote.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, mkutano huo umefanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam ambapo viongozi hao wawili walijadili fursa mbalimbali za uwekezaji ambazo zinaweza kuleta manufaa kwa Tanzania na ukanda mzima wa Afrika Mashariki.

Dangote, ambaye ni Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, ameonyesha nia ya kampuni yake kuendelea kupanua uwekezaji na ushirikiano wake na Serikali ya Tanzania katika sekta mbalimbali za kimkakati. Mazungumzo hayo yaligusa maeneo muhimu ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya usafirishaji, uzalishaji wa mbolea pamoja na sekta ya nishati. Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post