Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na mfanyabiashara maarufu kutoka Nigeria na Mwanzilishi wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na ujumbe wake katika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo uliofanyika Juni 28, 2026, umeongeza matarajio mapya kuhusu ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na kundi la Dangote, ambalo limekuwa miongoni mwa makampuni makubwa yanayofanya shughuli mbalimbali barani Afrika.
Post a Comment