Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Sakata jipya la kisiasa limeibua mjadala mzito nchini Tanzania baada ya Katibu Mkuu wa , John Mnyika, kueleza hadharani kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa amezuia ruzuku ya chama hicho ya takribani Shilingi milioni 500, hatua ambayo sasa imezua tuhuma za kucheleweshwa kwa makusudi na matumizi ya mamlaka kisiasa.
Kwa mujibu wa taarifa zilizonukuliwa kupitia MwanaHALISI Digital, Mnyika amedai kuwa chama hicho kimekuwa kikikumbana na urasimu na barua za mara kwa mara kutoka ofisi ya Msajili, ambazo kwa mtazamo wao hazina msingi wa moja kwa moja wa kisheria bali zinaonekana kuchelewesha upatikanaji wa fedha hizo muhimu kwa shughuli za chama. Mnyika anasema malalamiko hayo yamekuwa yakiwasilishwa hadi ngazi za juu serikalini ikiwemo Wizara ya Fedha, lakini bado hakuna suluhisho la haraka lililopatikana.

Post a Comment