Iringa-Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, , amezua mjadala mkali baada ya kutoa kauli yenye ujumbe mzito kuhusu vijana wanaojiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uhusiano wa kisiasa unapaswa kuendana na tathmini ya utekelezaji wa sera na maendeleo ya nchi.VIDEO NDO HII HAPA.
Akizungumza katika mahafali ya Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu wa CHADEMA (CHASO) mkoani Iringa, Heche amesema kuwa baadhi ya vijana wanaojihusisha naVIDEO NDO HII HAPA. CCM hufanya hivyo bila kuhoji msingi wa mafanikio ya kiutawala wa miaka mingi, jambo analodai linaonyesha changamoto ya uelewa wa kisiasa kwa baadhi ya wasomi.
Heche amesema kuwa kuwa na elimu pekee hakutoshi kama haiendani na uwezo wa kuchambua mafanikio ya taifa, akisisitiza kuwa vijana wanapaswa kujiuliza maswali magumu kuhusu ajira, maendeleo na utekelezaji wa sera za kiuchumi kabla ya kujihusisha na vyama vya siasa.
Amehoji ni kwa namna gani vijana wanaweza kujivunia uhusiano wa kisiasa bila kuangalia matokeo ya muda mrefu ya uongozi, VIDEO NDO HII HAPA.akitaja maeneo kama ajira, huduma za kijamii na maendeleo ya kiuchumi kuwa vipimo muhimu vya ufanisi wa kisera.
Kauli hiyo imepokelewa kwa mitazamo tofauti mitandaoni, ambapo baadhi ya vijana wamemuunga mkono wakisema inalenga kuchochea fikra za kina, huku wengine wakiona ni sehemu ya mjadala mpana wa ushindani wa kisiasa unaoendelea nchini.
Wachambuzi wa siasa wanasema hotuba hiyo inaendelea kuonyesha nafasi ya vyuo vikuu kama jukwaa muhimu laVIDEO NDO HII HAPA. mijadala ya kisiasa, hasa katika kipindi ambacho vijana wengi wanatafuta majibu kuhusu mustakabali wa ajira na maendeleo yao

Post a Comment