DODOMA — Kumeibuka mshangao mkubwa mjini Dodoma baada ya mwanamke mmoja kukiri kitendo cha kushtua alichodai kukifanya kama kisasi dhidi ya mwajiri wake, kufuatia mgogoro wa malipo ya kazi. TAZAMA VIDEO.
Akizungumza katika video iliyosambaa mitandaoni, mwanamke huyo alidai kuwa alikumbwa na hasira baada ya bosi wake kumkatalia kumlipa mshahara wake kwa kile kilichoelezwa kuwa ni ajali ya kumwangushia chombo cha chai (thermos) bila kukusudia.
Kwa mujibu wa maelezo yake, tukio hilo lilitokea kazini ambapo, baada ya mzozo kuhusu malipo, alijikuta akiwa amechukizwa na hali hiyo hadi kuchukua uamuzi aliouita wa “hasira ya muda.”
Katika maelezo yake ya kushangaza, alikiri kuwa alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa njia isiyokubalika, akisema aliweka mkojo kwenye chai iliyokuwa inatumiwa na mtoto wa bosi wake.
Kauli hiyo imezua mchanganyiko wa mshangao, hasira na mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, wengi wakikemea kitendo hicho wakikitaja kuwa ni hatari, kisicho cha kibinadamu na kinachoweza kusababisha madhara ya kiafya. SOMA ZAIDI.

Post a Comment