"Nimechoka na Tabia Zake, Nafikiri Huu Ndio Wakati Muafaka Kwa Mwanaume Kunioa" Mshtuko Dodoma Binti Alia Kwenye Video Iliyosambaa Mitandaoni, Adai Amekuwa Akifanya Hiki Wakati Baba Yake Akikataa Kumruhusu Aondoke, Watanzania Waguzwa na Huzuni.

Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imezua mjadala mkubwa baada ya msichana mmoja kutoka Tanzania kuomba msaada kwa hisia kali, akidai kuwa amechoshwa na maisha ya nyumbani na anataka kuolewa licha ya pingamizi za baba yake................TAZAMA VIDEO.

Katika video hiyo, msichana huyo anayeonekana kuwa na huzuni kubwa anaonekana akizungumza na kundi la wakazi huku akilia. Anadai kuwa ametumia miaka mingi kusaidia majukumu ya nyumbani na anahisi juhudi zake hazijathaminiwa.

Kulingana na simulizi yake, anaamini sasa ana umri unaofaa kuanzisha familia yake mwenyewe na anasema baba yake amekuwa akikataa mara kwa mara maombi kutoka kwa wanaume ambao wanadaiwa kuonyesha nia ya kumuoa.

“Nimechoshwa na tabia yake. Nafikiri huu ndio wakati mwafaka kwa mwanaume kunioa,” anasema katika video hiyo, jambo lililozua hisia na maoni tofauti kutoka kwa watu waliokuwa wakimsikiliza.

Tazama video hapa chini;

Post a Comment

Previous Post Next Post