Kwa miaka mingi, nyumba ya familia yetu ilikuwa imepoteza kabisa amani na utulivu. Sehemu iliyopaswa kuwa hifadhi ya upendo na furaha iligeuka kuwa uwanja wa mapambano, migogoro, na chuki zisizo na msingi.
Ndugu wa tumbo mmoja tulikuwa tukitazamana kama maadui wakubwa; maneno ya shombo, majununu, na migogoro ya mara kwa mara kuhusu mali ndogo ndogo vilikuwa vitu vya kawaida kila siku. Hata watoto wetu walianza kuathirika kisaikolojia na kujitenga.
Kila mara wazee wa familia na viongozi wa kijamii walipoketi ili kutusuluhisha, mazungumzo yaliishia kwenye matusi na ugomvi mkubwa zaidi.

Kila mtu alihisi analogwa au kuchukiwa na mwenzake, na amani ilionekana kuwa kitu kisichoweza kurejea tena kwenye ukoo wetu. SOMA ZAIDI.
Post a Comment