Top News

Kauli Nzito ya Masese Yazua Gumzo, Ataja Adui Mkuu wa CHADEMA Hadharani


Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mwanachama wa CHADEMA, Martin Maranja Masese, ametoa ujumbe mzito kupitia mitandao ya kijamii akiwataka viongozi, wanachama na wafuasi wa chama hicho kuendelea kusimama imara na kutoyumbishwa na changamoto wanazokutana nazo.

Katika ujumbe wake, Masese amesema wanachama wa CHADEMA hawapaswi kukubali kuondolewa kwenye mwelekeo wa harakati zao. Aidha, alidai kuwa changamoto zinazokikabili chama hicho si mpya na akaitaja dola inayoongozwa na CCM kuwa ndiyo adui mkuu wa CHADEMA.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post