Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Dar es Salaam, Julai 10, 2026 — Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa tuhuma nzito akidai kuwa baadhi ya watu walilipwa ili kuibua madai dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, wakimtuhumu kutumia vibaya fedha za chama.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mnyika alisema kuwa kuna watu waliokuwa wakizunguka wakishawishi baadhi ya viongozi wa chama kwa kuwapa pesa ili waendelee kusambaza madai hayo. Alisisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kudhoofisha mshikamano wa ndani wa chama na kuharibu taswira ya viongozi wake.
“Ni dhahiri kuwa kuna mkono wa watu waliolipwa ili kueneza tuhuma hizi. Tunapaswa kuwa makini na kuhakikisha chama hakipotezi mwelekeo wake kwa sababu ya propaganda zinazolenga kuvuruga mshikamano,” alisema Mnyika.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Post a Comment