Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro na Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa la chama hicho, Lembrus Mchome, amepinga vikali madai kwamba baadhi ya wanachama wanaokosoa mwenendo wa chama hicho wanalipwa fedha kwa lengo la kukidhoofisha.
Mchome amesema kauli hizo hazina msingi na zinapaswa kupuuzwa, akieleza kuwa wanachama wanaotoa maoni yao kuhusu hali ya ndani ya chama wanafanya hivyo kwa kuzingatia misingi ya CHADEMA na haki walizopewa kupitia katiba ya chama.
Akizungumza na waandishi wa habari Jumamosi Julai 11, 2026, Mchome amesema katiba ya chama inaruhusu wanachama kutoa ukosoaji pale wanapoona kuna changamoto au mwenendo ambao hauendani na misingi ya taasisi hiyo.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment