Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa wito kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanaharakati na wadau wa demokrasia nchini kuacha kampeni za kuwashambulia viongozi wakuu wa chama hicho, akisisitiza kuwa hatua hizo zinaweza kudhoofisha taasisi iliyojengwa kwa zaidi ya miaka 30.
Kupitia maandiko aliyoyachapisha kwenye mitandao ya kijamii ndani ya saa 24 zilizopita, Mwabukusi amesema CHADEMA ni matokeo ya uwekezaji mkubwa wa muda mrefu uliofanywa na Watanzania wengi, hivyo migogoro inayochochewa kwa propaganda na kauli za hisia inaweza kuathiri maendeleo ya demokrasia nchini kwa miaka mingi ijayo.
Amesema kuwa ikiwa kutakuwa na mafanikio ya kuwagawa viongozi wa chama hicho kwa kutumia tuhuma zisizofuata taratibu rasmi, Tanzania inaweza kuchukua takribani miaka 45 kujenga tena taasisi yenye nguvu na ushawishi kama CHADEMA.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment