Lema Aweka Wazi Hatua Atakayochukua Kama Atalazimika Kujibu Mashambulizi Dhidi Yake

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amezungumzia hali ya kisiasa inayoendelea ndani ya chama hicho, akisema maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Kigoma yatatangazwa rasmi na viongozi wakuu hivi karibuni.

Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye ukurasa wake wa X, Lema amesema anaamini maamuzi hayo yatasaidia kutoa majibu kuhusu mijadala mbalimbali na kelele zilizojitokeza ndani na nje ya chama katika siku za karibuni.

Lema amesema kuwa wanachama na wadau wa siasa wanapaswa kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa viongozi wa chama badala ya kuendelea kutegemea taarifa zisizo rasmi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.




Post a Comment

Previous Post Next Post