Heche Acharuka Upya, Aweka Sharti Zito la CHADEMA Kuhusu Maridhiano na Lissu

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

12 Julai 2026 - Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema chama hicho hakiko tayari kushiriki katika mchakato wa maridhiano hadi Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, atakapokuwa huru.

Heche amesema msimamo wa chama hicho unatokana na imani kwamba maridhiano yenye maana yanapaswa kujengwa juu ya misingi ya haki, usawa na ushirikishwaji wa pande zote zinazohusika.

Kwa mujibu wa Heche, suala la Lissu linabaki kuwa sehemu muhimu katika mjadala wa maridhiano, akieleza kuwa haiwezi kuwa rahisi kwa chama kuingia kwenye mazungumzo makubwa ya kisiasa wakati kiongozi wake mkuu akiwa bado gerezani.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.




Post a Comment

Previous Post Next Post