Hatimaye Raisi Samia Atoa Tamko Hili Kuhusu Maridhiano

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa maridhiano si dalili ya udhaifu kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakidhani, bali ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga msingi imara wa umoja, amani na maendeleo ya taifa. 

Kauli hiyo ameitoa akiwa Zanzibar wakati wa hafla ya utiaji saini Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa, akisisitiza kuwa tofauti za kisiasa zinapaswa kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo badala ya migogoro.

Rais Samia alisema kuwa katika mfumo wa kidemokrasia, ni jambo la kawaida vyama vya siasa na viongozi kutofautiana kwa hoja na mitazamo.

Hata hivyo, tofauti hizo hazipaswi kuwa chanzo cha migawanyiko inayoweza kuhatarisha mshikamano wa wananchi au kuathiri maendeleo ya taifa. Badala yake, viongozi wanapaswa kuweka mbele maslahi ya nchi na wananchi kuliko maslahi ya kisiasa.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post