Nilitafuta Kazi Kwa Miaka Minne Bila Mafanikio Simu Moja Tu Ilibadilisha Maisha Yangu

 

Kuhitimu masomo yangu ya chuo kikuu kwa kiwango cha juu ilikuwa fahari kubwa kwa familia yangu. Tuliamini kuwa elimu hiyo ingekuwa ufunguo wa kuondoa umaskini nyumbani.

Hata hivyo, ukweli wa mitaani ulikuwa tofauti kabisa. Miaka minne ilipita nikiwa nazurura na bahasha ya vyeti chini ya jua kali, nikituma maombi ya kazi kila kona bila mafanikio yoyote.

​Kila usaili niliompata uliishia kwa kuambiwa “tutakutafuta,” maneno ambayo yalikuwa ishara ya kukataliwa. 

Nilishuhudia wadogo zangu na marafiki zangu wakipata kazi nzuri, huku mimi nikibaki kuwa mzigo kwa wazazi wangu. Nilikata tamaa, nikapoteza kujiamini, na nilianza kuhisi kuwa labda nyota yangu ilikuwa imefifia kabisa.SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post