Naitwa Kelvin, mkazi wa jiji la kibiashara, Dar es Salaam, maarufu kama jiji la maraha. Kwa zaidi ya miaka minane, nimekuwa nikijishughulisha na ufundi wa simu na kuuza vifaa vyake (accessories) katika mitaa ya Posta.
Licha ya kuwa na utaalamu wa hali ya juu wa kutengeneza simu za kisasa (Smartphones), maisha yangu ya kibiashara yalikuwa ni dhoruba tupu.
Nilikuwa nafika asubuhi, nafungua ofisi yangu ndogo, lakini jua lilikuwa linazama bila mteja hata mmoja kuingiza kichwa kuuliza bei ya ‘cover’ au ‘screen protector’.
Hali hii ilikuwa inanidhalilisha sana, hasa ukizingatia kuwa nilisoma chuo na nina vyeti vya ufundi. Nilikuwa nakula mlo mmoja kwa siku – tena wa kusonga – huku nikishinda nimeishika tama kuangalia watu wakipita mbele ya ofisi yangu kwenda kwa mafundi ambao hawana hata vifaa vya kutosha.
Nilihisi nina nuksi ambayo siyo ya kawaida. Kila nikijaribu kuweka mzigo mpya wa simu, unakaa hadi unapitwa na wakati bila kuuzika.

Nilikaribia kukata tamaa kabisa na kuamua kurudi kijijini kwetu Ifakara nikiwa nimefeli maisha ya mjini.SOMA ZAIDI..................................
Post a Comment