Waziri Mkuu wa Zamani Wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba Akiwa katika mahojiano na na waandishi Mzee Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said Alisema kua ameshangazwa kua Ripoti ya tume uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 ni ya Rais pekee na haitasambazwa kwa watu Wote.
Ikumbukwe baada ya Ripoti ya tume Rais Samia Alisema kua Ripoti ile ni yeye pekee ambaye aliomba hivyo hangetaka kusikia mtu mwingine akitaka Kuona na kipi kipo ndani ya Ripoti ile. Kauli hiyo ilipokelewa kwa Hisia tofauti na watu mbali mbali.
Mazungumzo haya yalifanyika mnamo Mei 09, 2026, ambapo Jaji Joseph Warioba aliweza kupokea maswali kutoka kwa Mzee Jenerali Ulimwengu na khalifa Said. Moja ya mambo ambayo ameyasisitiza zaidi ni juu ya kufuta utaratibu wa kuzuia maoni katika jamii.
"Ukizuia kuzungumza, watu wanatafuta njia mbadala na njia mbadala huwa sio nzuri za chini chini, mimi ninachotaka tusifike huko. Sasa hivi kinachonipa hofu zaidi ni kuzuia mawazo yasitoke. Maana mawazo yangetoka yangetusaidia". Alisema Waziri huyo Mkuu wa Zamani.

Post a Comment