Mjadala mkubwa wa kisiasa umeibuka nchini kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni mpango wa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, wa kutaka kumpindua Rais Samia Suluhu Hassan.
Taarifa hizo zimeibua hisia kali miongoni mwa wananchi, wachambuzi wa siasa pamoja na wabunge mbalimbali ambao wameonekana kutoa maoni tofauti kuhusu madai hayo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanadaiwa kutoridhishwa na kile wanachokieleza kuwa ni njama za kisiasa zinazolenga kuvuruga uongozi wa Rais Samia.

Wabunge hao wanatajwa kumshambulia kisiasa Dkt. Nchimbi na kudai kuwa hakuna nafasi ya kuvuruga mshikamano ndani ya chama tawala.
Post a Comment