Aliye Sema Watu Wa Bara Wasitibiwe Zanzibar Akutana na Tukio Zito

Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.

Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Juni 9, 2026.

“Unajua mara nyingine hizi clip zinakatwa kwa sababu ya maslahi ya Mtu kutengeneza hoja ambayo yeye anaiona inafaa lakini kilichopo ni kwamba, kwanza mimi nilikuwa nikijibu hoja ya Mheshimiwa Mwakilishi fulani alipouliza kwamba kuna Watu wamekwenda hospitali na wanarejeshwa kwa sababu hawajasajiliwa”

Post a Comment

Previous Post Next Post