Wanaume wengi huishia kuchukulia baadhi ya maswali ya wanawake kama ya kawaida tu, bila kufahamu kuwa mara nyingi yana maana ya hisia za ndani zinazojificha.
Mwanamke anayekupenda lakini bado hajakueleza moja kwa moja atakuuliza maswali ambayo huenda yakawa ya kawaida kwa macho, lakini ni dalili za mapenzi ya moyoni.
Haya hapa ni maswali matano ambayo ukisikia mwanamke anakuliza mara kwa mara, ujue kuna kitu kinachemka moyoni mwake:

1. “Upo Single au Una Mtu
Hili linaweza kuonekana kama swali la kawaida, lakini mwanamke anayevutiwa na wewe hataki kujiingiza kwenye maumivu bure. Anapotaka kujua hali yako ya mahusiano, mara nyingi ni kwa sababu anapima nafasi yake kwako.
2. “Unapenda Mwanamke wa Aina Gani?”
Hili ni swali la kuchungulia vigezo vyako. Mwanamke akikuuliza hivi, anataka kujilinganisha na hayo maelezo, ili aone kama ana nafasi ya kuingia kwenye maisha yako kimahaba.
3. “Mbona Hujawahi Kuwa na Girlfriend? Au Wewe ni Mtoto wa Mama Sana?”
Swali hili linakuja kwa njia ya utani, lakini lina lengo la kupima hisia zako na kama uko tayari kuingia kwenye mahusiano. Wakati mwingine ni njia ya kuchokoza mazungumzo ya kimapenzi.

Post a Comment