Mwanamke akikunyima tendo la ndoa mfanyie haya ajifunze

Ama kwa hakika Cate alikuwa amenikalia chapati na sikuwa na lolote la kufanya ili kujikwamua kutoka kwenye minyororo ile kwa ajili ya mapenzi yangu kwake.

Jambo lililonikosesha usingizi kabisa ni mke wangu kuninyima hata haki yangu ya tendo la ndoa, alikuwa mkali na kila mara nilipomuuliza alinifokea kweli na kichapo kingefuatia.

Hali hii iliniweka mimi kuanza kutamani wanawake wa watu na hata wakati mwingine nilichukua hatua mikononi mwangu na kujitosheleza kwa kutumia sabuni na mafuta ya nywele kwani nilikuwa nimekumbwa na tamaa ya kula uroda.

Sikuwa na nafasi hata ya kwenda kutazama mpira na marafiki wangu kwani siku moja niliona cha mtema kuni niliporejea nyumbani nikiwa nimechelewa sababu ikiwa nilikuwa nimetoka kuangalia mchuano maridhawa kati ya Manchester United na Chelsea.

Sitasahau siku ile kwani uso wangu ulijaa makovu ya ndondi alizoninyorosha, siku moja nilimtembelea rafiki yangu Kanini na kumweleza shida nilizokuwa napitia kwenye ndoa ile.


Post a Comment

Previous Post Next Post