Wananchi walishuhudia tukio la kushangaza baada ya kijana mmoja Mtanzania kumkabili mpenzi wake wa Gen Z kwa madai ya usaliti na kumharibia nywele zake hadharani.
TAZAMA VIDEO KAMILI HAPA.
Kijana huyo alidai kuwa mpenzi wake hakuwa mwaminifu licha ya yeye kutumia pesa kumlipia huduma ya saluni.
Katika video inayosambaa mtandaoni, kijana huyo anaonekana akiwa na hasira kali akijaribu kumvuta na kuharibu nywele za mwanamke huyo huku watu waliokuwa karibu wakitazama tukio hilo likiendelea.
Baadhi ya wanaume waliokuwepo eneo hilo wanasikika wakimshangilia badala ya kuingilia kati kusitisha ugomvi huo.
“Ngo’a yote,” baadhi ya sauti zinasikika zikisema kwenye video hiyo.
Tukio hilo limezua maoni tofauti mtandaoni, ambapo watumiaji wengi wa mitandao ya kijamii wamelaani fedheha hiyo ya hadharani na kutoa wito wa kutafuta njia za amani za kushughulikia migogoro ya kimapenzi.
Wengine wamewakosoa watu waliokuwepo eneo hilo kwa kuhimiza ugomvi badala ya kusaidia kutuliza hali hiyo.
Tazama video >>> ya tukio hilo.

Post a Comment