Rais wa Marekani, Donald Trump, ameripotiwa kutoa maneno makali kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, wakati wa mazungumzo ya simu yaliyofanyika kufuatia mvutano unaoendelea katika Mashariki ya Kati.
Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani walionukuliwa na vyombo vya habari, Trump alionyesha hasira kubwa kuhusu hatua za kijeshi za Israel na athari zake kwa juhudi za kidiplomasia za Washington.
Maafisa hao walieleza kuwa rais huyo alimtuhumu Netanyahu kwa kuchochea hali ya mvutano na kuharibu taswira ya Israel katika macho ya jumuiya ya kimataifa.
Ripoti hizo zinadai kuwa Trump alimkumbusha Netanyahu kuhusu uungwaji mkono ambao Marekani imekuwa ikiipa Israel kwa miaka mingi, huku akieleza kutoridhishwa kwake na baadhi ya maamuzi yaliyofanywa na serikali ya Israel katika kipindi cha hivi karibuni.

Post a Comment