Wapo watu wanatafuta watu wa kuwapenda lakini mpaka sasa hawajawapata.
Ndiyo maana nilishawahi kusema kwamba, ukibahatika kumpata mtu anayekupenda na kwa bahati nzuri na wewe ukawa na chembechembe za mapenzi kwake, shukuru Mungu na mshikilie.
Kumbuka mapenzi ndiyo yanachukua nafasi kubwa kwenye maisha yetu. Hata kama umzuri, una pesa nyingi na mali za kumwaga kiasi gani, kama huna mtu wa ‘kuinjoi’ naye, maisha yako lazima yatakuwa ni yenye upungufu mkubwa.
Ndiyo maana wapo ambao ni matajiri lakini kwa kuwa mapenzi yanawachanganya, wanafikia hatua ya kujiua. Hapo ndipo unathibitisha kwamba, mapenzi yanachukua asilimia kubwa katika maisha yetu ya furaha ya kila siku.
Mpenzi msomaji wangu, wiki hii nataka kuzungumzia sababu tano za kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda sana kuwa na uhusiano na wapenzi wa watu.
Nimefikia hatua ya kuandika makala haya kwa kuwa, kila siku tunasikia fulani kafumaniwa na mke wa mtu au fulani anatembea na mpenzi wa mtu. Pia wapo wanawake ambao wameingia kwenye ndoa lakini bado wanasumbuliwa sana na wanaume.
Mbaya zaidi wanaume hao wanaelezwa kabisa kuwa, wameingia sehemu ambayo tayari mwingine kashajiweka lakini hawakubali, wanang’ang’ania.

Post a Comment