Wiki Mbili tu za Iran Kutoka Kupata Silaha za Nyuklia, Zaidi ya miaka Hii ni Mvutano tu

Kwa zaidi ya miongo miwili, mada ya mpango wa nyuklia wa Iran imeendelea kuwa moja ya masuala yanayojadiliwa zaidi katika siasa za kimataifa......................TAZAMA VIDEO HAPA.

Kauli kwamba Iran iko karibu sana kupata uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia imekuwa ikitolewa mara kwa mara na viongozi mbalimbali wa kisiasa na kiusalama, jambo ambalo limezua mjadala mkubwa kuhusu ukweli wa madai hayo na athari zake kwa usalama wa dunia.

Katika miaka ya hivi karibuni, Marekani, Israel na baadhi ya mataifa ya Magharibi yameendelea kueleza wasiwasi wao kuhusu maendeleo ya nyuklia ya Iran. 

Mataifa hayo yamedai kuwa teknolojia inayotengenezwa na Tehran inaweza kutumiwa kutengeneza silaha za nyuklia, hali ambayo inaweza kubadilisha kwa kiasi kikubwa mizani ya nguvu katika eneo la Mashariki ya Kati. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post