Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
DAR ES SALAAM, TANZANIA-Kauli za mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Denis Mayalla, zimeibua mjadala mpya ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kuwa sababu kubwa inayomfanya Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuonekana kama “msaliti” kwa baadhi ya wanachama wa chama hicho ni msimamo wake wa kutetea misingi ya demokrasia na kuheshimu uwepo wa vyama vya upinzani nchini.
Katika uchambuzi wake uliosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, Mayalla anaeleza kuwa Dkt. Nchimbi amekuwa akijitofautisha na baadhi ya viongozi kwa kusisitiza siasa za hoja, maridhiano na heshima kwa vyama vya upinzani badala ya lugha za mivutano na mashambulizi ya kisiasa.

Post a Comment