“Hatutambui Ushindi Huo, Uchaguzi Lazima Urudiwe,” Msajili Asema Huku Akifuta Matokeo ya Lipumba na Kuitaka CUF Kufanya Upya Uchaguzi wa Kitaifa

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania imefuta rasmi ushindi wa Profesa Ibrahim Lipumba katika uchaguzi wa kitaifa wa Civic United Front (CUF) uliofanyika Desemba 2024, na kuagiza uchaguzi wa nafasi za juu urudiwe kwa kuzingatia katiba na kanuni za chama.

Kwa mujibu wa barua ya tarehe 13 Februari 2026, iliyosainiwa na Naibu Msajili Sisty Nyahoza kwa niaba ya Msajili Jaji Francis Mutungi, uamuzi huo umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na baadhi ya wanachama wa CUF, akiwemo Maftaha Nachuma na Miraji Mtibiriko. 

Barua hiyo ilitumwa kwa Katibu Mkuu wa chama pamoja na walalamikaji, na ikaeleza kwa kina sababu za kisheria zilizopelekea kufikiwa kwa uamuzi huo.Kusoma Zaidi, Bonyeza Hapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post