Marekani yatuma Makombora Haya Mazito Baada ya kutungua Ndege Hizi za Kivita

Ndege za kivita za Marekani aina ya F-16 zimeziteka na kuziharibu kabisa meli tano za kivita za Iran zilizokuwa zikielekea upande wa Bahari ya Kiarabu.

Shambulio hili kali la anga limezua hofu kubwa ya kulipuka kwa vita kubwa na pana zaidi ya kikanda, inayotandwa na mapambano ya wazi ya majini, mashambulizi ya kudhibiti anga, na mbinu hatari za kijeshi.

Iran ilituma meli hizi 5 za kivita kwenda Bahari ya Kiarabu ili kufanya mapasuko ya kisasi kama kuteka meli za kibiashara za Marekani au kulipua miundombinu ya washirika wa NATO. Lakini Marekani imeamua kupiga kabla ya kupigwa na kuzizamisha meli hizo zikiwa bado njiani.

Ndege za F-16 zilizotumiwa hazikupiga tu risasi; zilitumia makombora ya kushambulia meli kama AGM-84 Harpoon. 

Hapa Marekani ilitaka kuonyesha umwamba wake wa angani kuwa meli yoyote ya Iran itakayojaribu kutoka nje ya Mlango wa Bahari wa Hormuz itakuwa Target rahisi kutoka angani bila hata Marekani kutuma meli zake za kivita kupambana ana kwa ana. SOMA ZAIDI.

Post a Comment

Previous Post Next Post