Usiku wa manane ofisini, safari ndefu za kikazi, karamu za ofisini zenye mbwembwe - takriban asilimia 85 huanza mahali pa kazi, huku mfanyakazi mmoja kati ya watano akikiri kutokuwa mwaminifu kwa mwenzake.
Mvuto wa tunda lililokatazwa unaweza kushawishi kwa haki, hasa katika mazingira ambapo utaalamu na mipaka vinatarajiwa kuzingatiwa - na wengi hawawezi kujizuia kuvumilia.
Katika utafiti ambao umefanyika Hivi Karibuni baadhi ya wafanyakazi wa Taaluma Fulani wameonekana kua na kawaida ya kua na mahusiano ya kazini hata ikiwa tayari wapo ndani ya ndoa.
Na baadhi yao Huwa na wapenzi wengi hata nje ya maeneo Yao ya kazi. Hizi Hapa Kazi 5 ambao wanaongoza kwa ku Cheat zaidi
1: Wahudumu wa Afya
Tovuti ya Illicit Encounter ilitaja hasa hasa wanawake ambao wanafanya kazi kama wauguzi ndio ambao Wana nafasi kubwa Zaidi ya kua na mahusiano nje ya ndoa zao. Na sababu kubwa ikitajwa kazi Yao kua ya huruma na upweke mwingi wa umbali na wapenzi wao.:
Katika tafiti hiyo ujumla wa wanaume ambao ni marubani pamoja na wanawake ambao wengine ni marubani, wakata tiketi na Wahudumu wa ndani ya Ndege wanatajwa Zaidi kua na mahusiano nje hasa kutokana na safari zao za mbali za mara kwa mara. SOMA ZAIDI.

Post a Comment