Mbunge wa Jimbo la Tanga Ummy Mwalimu ambaye alipata Uteuzi mpya Juni 2 2026 na kua mshauri wa Rais anayeshughulikia masuala ya Afya ya uzazi, mama na mtoto ametoka na kuandika ujumbe mrefu kwenda kwa Rais Samia kama sehemu ya shukrani kwa uteuzi huo.
Ummy Mwalimu aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya Jana Juni 8 2026.
Mbunge huyo aliandika kua " ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH. Namshukuru mwemyezi Mungu mwingi wa rehema kwa neema na baraka zake nyingi kwangu"
" Kipekee, kwa Heshima na Unyenyekevu mkubwa namshukuru Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuniamini na kuniteua kua mshauri wake wa masuala ya Afya ya uzazi, mama na mtoto. ALHAMDULILLAH".
Ulikuwa ni ujumbe wa shukrani Kutoka Ummy Mwalimu ambaye hapo awali alikuwa waziri Kiongozi katika wizara ya Afya kabla ya kutenguliwa Septemba 2024 na nafasi yake kuchukuliwa na Janesta Mhagama.
Aidha, Ummy aliongeza kua " Ahadi yangu Kwa Mheshimiwa Rais ni kua nitatekeleza majukumu yangu Kwa weledi bidii na uaminify mkubwa kwake na kwa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nikitambua dhamana kubwa aliyopewa Rais Rais Samia na wakuu wa nchi na wanachama wa Umoja wa Afrika ya kua kinara wa Afya ya mama na mtoto"

Post a Comment