Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.
Mwili wa mwanamume mmoja umekutwa katika bonde la Mto Kijenge, Mtaa wa Block J, Kata ya Ngulelo jijini Arusha baada ya kuonekana na wapita njia waliotoa taarifa kwa viongozi wa serikali ya mtaa.
Baada ya kupokea taarifa hizo, Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika eneo la tukio na kufanya operesheni ya kuutoa mwili huo kutoka eneo hilo la bonde.
Kufuatia tukio hilo, wananchi pamoja na viongozi wa eneo hilo wameitaka mamlaka husika kuimarisha usalama katika bonde hilo kwa kuweka uzio na alama za tahadhari ili kuzuia ajali na matukio mengine yanayoweza kujitokeza siku za usoni. SOMA ZAIDI.

Post a Comment