Amchoma Kisu Mwanaume Kwa Kutokumlipa Wakiwa Gesti

Tafadhali Zingatia: Ikiwa unasoma kwenye PHOENIX, tafadhali bofya kitufe cha “Soma Makala Asili” kilicho upande wa juu kulia ili kusoma makala kamili.

Mamlaka za usalama katika mji wa Butembo, mkoani Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), zinaendelea kufanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya kijana mmoja aliyefariki dunia baada ya kuchomwa kisu ndani ya nyumba ya kulala wageni (guest) katika eneo la Kitulu.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka kwa wakazi wa eneo hilo, tukio hilo lilitokea wakati kijana huyo alipokuwa ndani ya guest akiwa na mwanamke ambaye inadaiwa walikuwa wamefika pamoja muda mfupi kabla ya tukio hilo kutokea. Mazingira yaliyosababisha mauaji hayo bado hayajafahamika rasmi, huku vyombo vya dola vikikusanya ushahidi ili kubaini kilichojiri. SOMA ZAIDI.


Post a Comment

Previous Post Next Post