Katika mahusiano, si kila mtu huwa tayari kueleza hisia zake waziwazi. Wapo wanawake wengi ambao hupenda kwa dhati lakini huogopa kufunguka kutokana na sababu mbalimbali kama vile aibu, hofu ya kukataliwa au kutokuwa na uhakika wa hisia za upande mwingine. Hata hivyo, wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa kuna ishara kadhaa zinazoweza kuonyesha kuwa mwanamke anakupenda licha ya kutosema moja kwa moja.
Moja ya ishara hizo ni kukutazama mara kwa mara bila kujua. Mara nyingi mwanamke anayevutiwa na mtu hujikuta akimtazama kwa muda mrefu, lakini akigundua ameonekana huweza kugeuza macho haraka kutokana na aibu. Aidha, tabasamu lake hubadilika unapokuwa karibu naye na mara nyingi huonyesha furaha ya kipekee anapokuona.
Pia, mwanamke anayekupenda kwa siri huwa na tabia ya kujali zaidi ustawi wako. Anaweza kuuliza kama umekula, umefika salama nyumbani au kama unaendelea vizuri katika shughuli zako za kila siku. Hii ni njia mojawapo ya kuonyesha kujali kwake bila kutamka hisia zake waziwazi......BONYEZA HAPA USOMA TAARIFA YOTE.

Post a Comment