Hawa Ndio Wameletwa Kuzuia Maandamano Nchini Julai 7

Taarifa iliyotolewa tarehe 04 julai 2026, Kiongozi wa jamii, Sheikh Saidi Mwaipopo, ametangaza kuanzishwa kwa kikosi kipya kinachojulikana kama “CHUI WEUSI” kwa lengo la kusaidia kudhibiti vurugu zinazoweza kujitokeza wakati wa matukio mbalimbali ya kijamii na kisiasa yatakayofanyika Julai 07. Taarifa hiyo imetolewa kupitia ukurasa wa PAZA SAUTI, ambapo Sheikh Mwaipopo alionekana akikitambulisha kikosi hicho mbele ya wananchi na wafuasi wake.

Kwa mujibu wa maelezo yake, kikosi cha CHUI WEUSI kitafanya kazi kwa kushirikiana na kikosi kingine kinachoitwa “MBWA MWITU”, ambacho tayari kinadaiwa kuwa na uzoefu wa kukabiliana na vitendo vya uvunjifu wa amani. Sheikh Mwaipopo alieleza kuwa lengo kuu la vikosi hivyo si kuleta hofu kwa wananchi, bali kuhakikisha usalama na utulivu vinatawala wakati wote.......BONYEZA HAPA USOMA TAARIFA YOTE.

Post a Comment

Previous Post Next Post